Michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF CC) hatua ya makundi leo inaingia raundi ya pili ambapo mechi za raundi hiyo zinapigwa katika nchi mbalimbali
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano hiyo Simba wako Algeria ambapo majira ya saa 1 usiku watakuwa uwanjani katika mji wa Constantine kumenyana na wenyeji wao CS Constantine
Usikose kuitazama mechi ya CS CONSTANTINE 🆚 SIMBA na MC ALGER 🆚 YANGA Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment