Nyota wa Simba, wameapa kupigana kufa kupona ili kupata ushindi au hata sare kwenye mchezo wa pili wa Kombe la Shirikisho, hatua ya makundi dhidi ya CS Constantine ya Algeria, huku Kocha Mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids akisisitiza ni ushindi tu
Kikosi cha Simba kinatarajia kuondoka keshokutwa, Jumatano kwenda kwenye mji wa Constantine kucheza mechi hiyo ya Kundi A, dhidi ya timu hiyo utakaopigwa, Jumapili saa 1:00 usiku katika Uwanja wa Mohamed Hamlaoui
Usikose kuitazama mechi ya CS CONSTANTINE 🆚 SIMBA na MC ALGER 🆚 YANGA Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment