Baada ya ushindi dhidi ya Namungo Fc juzi, kikosi cha Yanga kinarejesha makali yake katika michuano ya ligi ya mabingwa ambapo Jumamosi Disemba 07 kitakuwa ugenini Algeria kuchuana na MC Alger katika mchezo wa pili kundi A
Hii ni mechi muhimu kwa Yanga kuhakikisha haipotezi ili kuweka hai matumaini ya kutinga robo fainali
Usikose kuitazama mechi hii Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment