Ni wazi mlinda lango Ayoub Lakred ndiye atakayempisha kiungo mshambuliaji Elie Mpanzu pale dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa siku ya Jumatatu, Disemba 16
Licha ya kupona majeraha, Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids hajamtumia Lakred katika mechi yoyote ya mashindano
Lakred ameendelea kushiriki mazoezi ya kikosi cha Simba bila ya kucheza mechi kukiwa na taarifa kuwa huenda akarejea Morocco kujiunga na Raja CA
Simba ina walinda lango watano wa kikosi cha kwanza ambao Moussa Camara, Ali Salim, Aishi Manula, Hussein Abel na Lakred
Manula huenda akaungana na Lakred kupewa mkono wa kwaheri pale dirisha dogo litakapofunguliwa na Simba kubaki na Camara, Salim na Abel
Usikose kuitazama mechi ya TP MAZEMBE 🆚 YANGA Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment