Kituo kinachofuata ni CS Sfaxien

Baada ya kujihakikishia kufunga mwaka 2024 ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi, kikosi cha Simba sasa kinahamisha nguvu zake katika michuano ya kombe la Shirikisho (CAF CC) kuwania tiketi ya kutinga robo fainali

Jumapili ya wiki hii, Januari 05 Simba itamenyana na CS Sfaxien huko Tunisia ambapo kikosi cha Simba kinatarajiwa kuondoka nchini Jumanne usiku

Katika wiki tatu Simba itakamilisha mechi zilizobaki hatua ya makundi ikihitaji angalau alama nne ili kuwa na uhakika wa kutinga robo fainali

Januari 12 Simba itakuwa Angola kumenyana na Bravos na kisha kurejea Tanzania kukamilisha mechi ya mwisho dhidi ya CS Constantine, Januari 19

Simba, CS Constantine na Bravos zote zina alama sita na kuwa na nafasi sawa ya kusonga mbele

Ni wazi timu ambayo itapata alama ugenini na kushinda nyumbani itasonga mbele hatua ya robo fainali

Alama 9 pia zinaweza kutosha kusonga mbele lakini hii itategemea matokeo ya timu nyingine pia

Usikose kuitazama mechi ya YANGA 🆚 TP MAZEMBE na CS SFAXIEN 🆚 SIMBA LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post