Ishu ya Mpanzu kucheza leo dhidi ya kengold iko hivi

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ali amesema hatma ya winga Elie Mpanzu kutumika matika mechi ya ligi kuu dhidi ya KenGold itafahamika baada ya usajili wake kukamilika

Ahmed amesema kuna taratibu ambazo hakikumilishwa kwa wakati jana lakini leo anaamini taratibu hizo zitakamilika na kuwa katika nafasi nzuri ya kuzungumzia hatma ya nyota huyo ambaye wanasimba wanatamani kumuona akicheza dhidi ya KenGold leo

"Elie Mpanzu tuko kwenye mchakato wa kukamilisha usajili wake na kumuingiza kwenye mfumo, hadi kufikia kesho (leo) tutakuwa na majibu yaliyonyooka"

"Kuhusu ni mchezaji gani anampisha tusubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wetu, watatuambia nani anampisha Mpanzu," alisema Ahmed

Hadi kufikia jana, Simba ilikuwa ikisubiri ITC ya mchezaji huyo na wahusika waliahidi ITC hiyo ingetumwa leo

Ikipokelewa, Simba itaweza kumsajili Mpanzu katika mfumo wa usajili wa TFF na kuwa tayari kumtumia

Usikose kuitazama mechi SIMBA 🆚 KENGOLD leo na YANGA 🆚 MASHUJAA kesho Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post