Nakutana dharau kibao kisa sina hela, tena unakuta anayenidharau na yeye hana hela, nishamfuata Dada mmoja, akaniambia nitamlisha nini?.
Nikamwambia kama kazi ninayo, nipo hapa sokoni ninauza hizi nguo zangu, wezo wa kukulisha nina, alinijibu "kuuza mitumba nayo ni kazi?".
Niliumia sana, nilikuwa kila saa naangalia kiduka changu cha nguo, kwa uwezo wangu ni kikubwa, kilichokuwa kinanishangaza yeye nwenyewe hakuwa hata na sehemu ya kujishkizia.
Alikuwa anazurura tu hapa sokoni, nikagundua kumbe hata sisi wenyewe maskini hatupendani, dharau ni nyingi kutokana hamna pesa, nikajua muhimu kupambana maishani na kuondokana na ufukara.
Basi katika kupita huko na kule nikasikia kuwa Dr Bokko ana dawa ya kuvuta wateja katika biashara na kuifanya ishamiri sana, nilitamani nami ningeweza kupata huduma hiyo.
Nilitafuta namba zao katika mitandao ya kijamii hadi nikafanikiwa, niliwasiliana nao na wao bila kushelewa aliweza kunipatia huduma hiyo, ghafla biashara yangu iliza kukua kwa haraka sana.
Niliweza kufungua duka kubwa sana la nguo za jumla na reja reja hapa Rukwa mjini, pia nina maduka mengine manne sehemu tofauti tofauti nje ya mji, kwa sasa sio mimi ninayekaa dukani kwa ajili ya kuuza bali kuna watu nimewaajiri kwa ajili ya kazi hiyo.
Hivi majuzi nimekutana na yule dada aliyenijibu kwa dharau kuwa kazi ya kuuza nguo za mtumba sio kazi, anaona aibu sana, akaniomba msamaha kwa kauli yake na kutaka kuwa nami, nilimkatalia, nikamwambia dharau zako ndizo zimekuponza.
Ikiwa nawe unahitaji au changamoto yoyote katika maisha yako upande wa uchumi, mahusiano, biashara, fedha, basi chukua hatua ya kuwasiliana na Dr Bokko kwa namba +255618536050.
Mwisho.
Post a Comment