Baada ya ushindi katika mechi nne zilizopita, kikosi cha Yanga sasa kinauelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya TP Mazembe kikiwa katika kiwango bora
Jumamosi, Januari 04, 2025 Yanga itaikaribisha TP Mazembe katika mchezo wa raundi ya 4 hatua ya makundi ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Yanga inahitaji kushinda mchezo huo ili kufufua matumaini ya kutinga robo fainali ya CAF CL
Kama Yanga itabeba alama zote tatu mbele ya Mazembe Jumamosi, maana yake ni kuwa Wananchi watafikisha alama nne na kusogea hadi nafasi ya tatu katika kundi A
Mechi zote zilizobaki ni kama fainali kwa Yanga kwani Wananchi hawapaswi kupoteza mchezo wowote
Kimahesabu Yanga inaweza kufikisha alama 10 kama itashinda mechi hizo na kujihakikishia tiketi ya kutinga robo fainali
Habari njema kwa Wananchi ni kuwa ni mechi moja tu ambayo itachezwa ugenini dhidi ya Al Hilal na yawezekana vijana hao wa Florent Ibenge wakakata tiketi mapema kabla ya mechi yao dhidi ya Yanga itakayopigwa Mauritania Januari 12
Yanga itakamilisha mechi ya mwisho hatua ya makundi dhidi ya MC Alger, Januari 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Usikose kuitazama mechi ya YANGA 🆚 TP MAZEMBE na CS SFAXIEN 🆚 SIMBA LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment