Breaking: Yanga yamsajili Mwenda
Usikose kuitazama mechi ya TP MAZEMBE 🆚 YANGA na SIMBA 🆚 CS SFAXIEN Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload App Bonyeza hapa
Ni rasmi sasa mlinzi kiraka anayemudu vyema kucheza safu ya ulinzi kulia na kushoti Israel Mwenda ni mchezaji wa Yanga
Mwenda anatua Yanga kwa mkopo wa miezi sita akitokea klabu ya Singida Black Stars
Ni katika jitihada za Yanga kuboresha safu ya ulinzi hasa upande wa kushoto
Mwenda (24) amewahi kuzitumikia KMC na Simba kabla ya kusajiliwa na Singida BS
Bila shaka Mwenda atakuwa 'back-up' nzuri safu ya ulinzi eneo la pembeni
Usikose kuitazama mechi ya TP MAZEMBE 🆚 YANGA Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment