Boka, Mzize, Aucho ndani ya kikosi kinachokwenda Algeria

Wachezaji Chadrack Boka, Clement Mzize na Khalid Aucho waliokuwa majeruhi, watakuwa sehemu ya kikosi kinachosafiri Algeria kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya MC Alger utakaopigwa Disemba 07

Nyota hao walikosekana katika mechi zilizopita wakiwa majeruhi, wanaweza kuonekana tena dimbani katika mchezo huo kwa kutegemea na utimamu wao baada ya mazoezi ya siku chache huko Algeria kabla ya mchezo

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema msafara utajumuisha watu 53 ambapo wachezaji watakaosafiri ni 25

Kikosi kinatarajiwa kuondoka nchini saa 9 Alasiri

Usikose kuitazama mechi ya CS CONSTANTINE 🆚 SIMBA na MC ALGER 🆚 YANGA Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post