Juzi katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji, kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki alifunga bao lake la pili msimu huu. Ni kupitia mkwaju wa penati baada ya Prince Dube kufanyiwa madhambi ndani ya eneo la hatari
Aziz Ki ameanza kurejea katika ubora ambao msimu uliopita ulimpa tuzo za MVP, mfungaji bora na kiungo bora
Chini ya Sead Ramovic Aziz Ki ni kama amepewa majukumu tofauti, mara nyingi ameonekana akishambulia akitokea upande wa kulia na kuwa mshambuliaji kivuli pale Prince Dube anaposhuka chini kuomba mipira
Aziz Ki anashiriki kikamilifu katika kuzuia pale timu inapokuwa haina mpira akiongeza 'pressing' dhidi ya timu pinzani inapoanzisha mashambulizi
Licha ya kufunga mabao mawili, Aziz Ki pia ametoa assist nne, akiwa miongoni mwa wachezaji waliotoa assist nyingi msimu huu
Ni Feisal Salum (7) na Salum Kihimbwa (5) pekee waliomzidi Aziz Ki katika takwimu za wapishi wa mabao
Ki alianza msimu taratibu lakini ni wazi sasa ameanza kujipata
Usikose kuitazama mechi ya SINGIDA BS 🆚 SIMBA na YANGA 🆚 SINGIDA FG LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment