Yanga yapangwa kundi A CAF CL - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga yapangwa kundi A CAF CL

Yanga yapangwa kundi A CAF CL


Usikose kuitazama mechi ya SIMBA vs YANGA Live bure kwenye simu yako download app yetu Mapema itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu 


 Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga wamepangwa kundi A makundi ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Katika kundi A, Yanga itachuana na Al Hilal (Sudan), MC Alger (Algeria) na TP Mazembe ya DR Congo

Itakuwa mara ya pili kwa Yanga kuchuana na TP Mazembe katika makundi baada ya kuwa kundi moja 2022/23 katika michuano ya kombe la Shirikisho (CAF CC)

Mechi za hatua ya makundi zitaanza kupigwa mwishoni mwa Novemba 2024

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz