Yanga vs JKT Tanzania kesho - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga vs JKT Tanzania kesho

Yanga vs JKT Tanzania kesho

Ni kesho YANGA vs JKT TANZANIA na TZ PRISON vs SIMBA usikose kuzitazama mechi hizi Live bure kupitia Simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuzitazama mechi hizi live kabisa pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel za AZAM TV bure na DSTV pia kuna Muvi zilizotafsiriwa kudownload App yetu bonyeza 👉🏻HAPA


Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba juzi, hakuna muda wa kupumzika kwa Yanga kwani kesho Jumanne Oktoba 22 Wananchi watashuka uwanja wa Azam Complex kuikabili JKT Tanzania katika mchezo wa raundi ya sita

Yanga itafunga mwezi Oktoba na mechi nyingine tatu ambazo kwa wastani zitapigwa kila baada ya siku tatu au nne

Oktoba 26 Yanga inapaswa kuwa Arusha kuchuana na Coastal Union kisha kuelekea Zanzibar kuikabili Singida BS Oktoba 30

Mechi ya kwanza Novemba ni dhidi ya Azam Fc, Novemba 02 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz