USAJILI: Yanga yaanza mawindo ya Mrithi wa Aucho huyu hapa

 USAJILI: Yanga yaanza mawindo ya Mrithi wa Aucho huyu hapa

Usikose kuitazama mechi ya SINGIDA BLACK STARS vs YANGA LIVE kesho kutwa LIVE kwenye simu yako buree download app yetu itakayokuwezesha kuitazama mechi hii live pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na DSTV Bure pamoja na Muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA


Baada ya kumkosa katika dirisha lililopita, Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amepania kukamilisha usajili wa kiungo Charve Onoya kutoka klabu ya Maniema, imefahamika

Yanga imedhamiria kumshusha nchini kwenye dirisha dogo kiungo huyo mkabaji mwenye umri wa miaka 21

Khalid Aucho ni mchezaji tegemeo katika eneo la kiungo cha ukabaji, mkataba wake unamalizika mwishoni mwa msimu lakini pia umri wake umesogea

Yanga inaanza maandalizi mapema ya kumpata mrithi wa Aucho ili pale atakapoondoka kusiwe na changamoto katika eneo hilo

Katika dirisha lililopita Yanga ilikaribia kumsajili Onoya pamoja na kiungo mshambuliaji Ageye Basiala lakini mpango huo ulipokwama ndipo Duke Abuya akasajiliwa

Onoya na Basiala walicheza pamoja na Maxi Nzengeli katika kikosi cha Maniema

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post