Tanzania Prison Vs Simba ni kesho uwanja wa Sokoine - EDUSPORTSTZ

Latest

Tanzania Prison Vs Simba ni kesho uwanja wa Sokoine

 Tanzania Prison Vs Simba ni kesho uwanja wa Sokoine

Ni kesho YANGA vs JKT TANZANIA na TZ PRISON vs SIMBA usikose kuzitazama mechi hizi Live bure kupitia Simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuzitazama mechi hizi live kabisa pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel za AZAM TV bure na DSTV pia kuna Muvi zilizotafsiriwa kudownload App yetu bonyeza 👉🏻HAPA

Kikosi cha Simba tayari kiko mkoani Mbeya kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa kesho Jumanne katika uwanja wa Sokoine

Msafara wa Simba ulitua Mbeya jana jioni ambapo leo timu itafanya maandalizi ya mwisho katika uwanja wa Sokoine

Baada ya kupoteza mchezo uliopita, Simba inahitaji kushinda mchezo huu ili kurejesha ari na morali ya timu

Ni wazi utakuwa mchezo mgumu, Tanzania Prisons wamekuwa na historia ya kuisumbua Simba hasa wanapocheza katika uwanja wa Sokoine

Simba haijapata ushindi katika mechi mbili zilizopita dhidi ya Coastal Union na Yanga, hivyo hakuna namna alama tatu za mchezo dhidi ya Prisons zina umuhimu mkubwa

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz