Stars ni kufa au kupona dhidi ya DR Congo Itazame mechi hii LIVE hapa bure - EDUSPORTSTZ

Latest

Stars ni kufa au kupona dhidi ya DR Congo Itazame mechi hii LIVE hapa bure

 Stars ni kufa au kupona dhidi ya DR Congo Itazame mechi hii LIVE hapa bure

Ni leo TANZANIA vs DR CONGO usikose kuitazama mechi hii live bure kupitia simu yako download app yetu itakayokuwezesha kuitazama mechi hii live kwenye simu yako pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA


Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo inashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kumenyana na DR Congo katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya Afcon 2025

Katika kuhakikisha timu inapata sapoti kubwa ya mashabiki, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk Samia Suluhu Hassan amenunua tiketi 20,000 za Mzunguuko kwa ajili ya mashabiki kuingia bure. Mapema Azam TV na Wadhamini wengine walilipia tiketi 10,000

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh Gerson Msigwa amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa leo kuipa hamasa timu yao ya Taifa katika mchezo ambao Tanzania inahitaji ushindi

Ili kuweka hai matumaini ya kufuzu Afcon 2025, Stars inahitaji kushinda mchezo dhidi ya DR Congo leo

Itakuwa mechi ngumu kwa sababu DR Congo nao wanahitaji ushindi ili kujihakikishia tiketi ya kufuzu mapema

Kaimu Kocha Mkuu wa Tanzania Hamed Morocco amesema vijana wake wako tayari kwa mchezo huo na watapambana kuhakikisha wanaibuka na ushindi

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa atakuwa mgeni rasmi wa mchezo huo ambao pia Rais Mstaafu Awamu ya nne, Dk Jakaya Mrisho Kikwete ataushuhudia katika dimba la Mkapa

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz