Stars katika mawindo ya DR Congo - EDUSPORTSTZ

Latest

Stars katika mawindo ya DR Congo

Stars katika mawindo ya DR Congo


Usikose kuitazama mechi ya SIMBA vs YANGA Live bure kwenye simu yako download app yetu Mapema itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA


 Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeanza mazoezi kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 dhidi ya DR Congo itakayochezwa Oktoba 10 na Oktoba 15, 2024 

Mechi ya kwanza itapigwa DR Congo na mchezo wa marudiano kupigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

DR Congo ndio vinara wa kundi H wakishinda mechi zao mbili na kukusanya alama sita huku Tanzania ikifuatia nafasi ya pili ikishinda mechi moja na kutoka sare mechi moja

Ni wazi mechi hizi dhidi ya DR Congo zinaweza kutoa mwanga juu ya hatma ya Tanzania kushiriki fainali za Afcon 2025 zitakazofanyika Morocco

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz