Simba yapata Mdhamini Mpya - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba yapata Mdhamini Mpya

 

Ni Jumamosi SIMBA vs YANGA usikose kuitazama mechi hii live bure kupitia simu yako download app yetu Mapema itakayokuwezesha kuitazama mechi hii live kwenye simu yako pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA

Kampuni ya Knauf iliyojikita katika utengenezaji wa Gypsum na bidhaa nyinginezo, leo imesaini mkataba wa udhamini klabu ya Simba

Mkataba huo wa mwa mmoja, una thamani ya Tsh Milioni 200

Akizungumza katika hafla ya utiaji saini makubaliano hayo, Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu alisema mkataa huo ni ushirikiano wa moja kwa moja na utahusisha timu zote za Simba

"Jambo kubwa na la msingi unaongeza thamani ya uwekezaji ndani ya klabu yetu. Sisi hatuangalii sana zaidi thamani ya pesa tunayopata, zaidi ni thamani ya mkataba ya kampuni na ukubwa wake"

"Tumeingia mkataba wa ushirikiano wa moja kwa moja, hatuna mashindano ya nje na ndani na mkataba ni kwa timu zetu zote," alisema Mangungu

Nae Ilse Boshoff ambaye ni Mkurugenzi wa Kanda wa Knauf Tanzania, amesema wameichagua SImba wakiamini ndio klabu kubwa hapa Tanzania na Afrika Mashariki ambapo kupitia makubaliano hayo watajitangaza zaidi

"Knauf ni mwekezaji wa kimkakati na Simba ni taasisi kubwa. Naona ushirikiako mkubwa kwa brand hizi na kuangalia namna tunaweza kusonga mbele. Tunataka kukua ndani ya Tanzania na Afrika Mashariki na kwa ushirikiano na Simba tunaamini tutafika huko," alisema

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz