Simba yapangwa kundi A makundi CAF CC - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba yapangwa kundi A makundi CAF CC

Simba yapangwa kundi A makundi CAF CC
Usikose kuitazama mechi ya SIMBA vs YANGA Live bure kwenye simu yako download app yetu Mapema itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu 

Droo ya hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF CC) imefanyika leo huko Misri ambapo Simba imepangwa kundi A

Katika kundi A Simba imepangwa na CS Sfaxien (Tunisia), CS Constantine (Algeria) na Fc Bravos (Angola)

Pengine ushindani mkubwa unatarajiwa kutoka kwa CS Sfaxien na CS Constantine ambazo zimekuwa zikicheza hatua ya makundi ya michuano hii mara kwa mara wakati Fc Bravos hii itakuwa mara yao ya kwanza

Mechi za hatua ya makundi zinatarajiwa kuanza mwishoni mwa Novemba 2024

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz