Ratiba ya mechi za Yanga mwezi huu wa kumi - EDUSPORTSTZ

Latest

Ratiba ya mechi za Yanga mwezi huu wa kumi

 Ratiba ya mechi za Yanga mwezi huu wa kumi

Ni Jumamosi SIMBA vs YANGA usikose kuitazama mechi hii live bure kupitia simu yako download app yetu Mapema itakayokuwezesha kuitazama mechi hii live kwenye simu yako pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA


Oktoba 19 Yanga iko ugenini uwanja wa Benjamin Mkapa kuwakabili watani zao Simba katika moja ya mechi nne za ligi kuu kukamilisha mwezi Oktoba

Oktoba 22 Yanga itahamia uwanja wa nyumbani, Azam Complex kuikabili JKT Tanzania na baada ya mchezo huo Wananchi watasafiri mkoani Arusha kuikabili Coastal Union, uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Oktoba 26

Oktoba 30 Yanga itakuwa Zanzibar kuikabili Singida BS katika mchezo utakaopigwa uwanja wa New Amaan Complex

Mechi ya kwanza Novemba ni dhidi ya Azam Fc, itapigwa Novemba 02 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz