PICHA: Simba yarejea Dar, kituo kinachofuata Namungo Fc - EDUSPORTSTZ

Latest

PICHA: Simba yarejea Dar, kituo kinachofuata Namungo Fc

Ni keshokutwa  SIMBA vs NAMUNGO na COASTAL UNION vs YANGA usikose kuzitazama mechi hizi Live bure kupitia Simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuzitazama mechi hizi live kabisa pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel za AZAM TV bure na DSTV pia kuna Muvi zilizotafsiriwa kudownload App yetu bonyeza 👉🏻HAPA


Kikosi cha Simba kimerejea salama jijini Dar es salaam wakitokea mkoani Mbeya ambako jana waliichapa Tanzania Prisons bao 1-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa uwanja wa Sokoine

Mnyama atakuwa na siku mbili za kukamilisha maandalizi ya mchezo unaofuata dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa Ijumaa, Oktoba 25 katika uwanja wa KMC Complex

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz