Orodha majina ajira za walimu 2024 pdf - EDUSPORTSTZ

Latest

Orodha majina ajira za walimu 2024 pdf

Orodha majina ajira za walimu 2024 pdf

Orodha majina ajira za walimu 2024 pdf

Katika makala hii tumekuwekea orodha ya Majina ya Walimu Wapya 2024 Walioitwa kazini TAMISEMI (Majina ya Walimu Walioitwa Interview 2024 pdf) zilizofanyika mwanzoni mwa mwezi wa saba na kukoma Mwanzoni mwa mwezi wa nane mwaka huu.

Kuhusu Majina ya Walimu Wapya 2024 Walioitwa kazini TAMISEMI

Ajira za walimu 2024 pdf zimekua miaka ya nyuma zikitangazwa na Tamisemi kwa kushirikiana na wizara ya afya. Mwaka 2024 nafasi za kazi za walimu zimetangazwa na utumishi kupitia mfumo wao wa www.portal.ajira.go.tz.

Jinsi ya kutazama orodha ya majina ajira za walimu mwaka 2024

  • Ingia kwenye mfumo wa utumishi kupitia www.portal.ajira.go.tz
  • Nenda eneo la My Application
  • Kisha utaona ujumbe wa kualikwa katika interview

TAZAMA MAJINA YOTE HAPA PDF



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz