Nyota 12 wa Yanga walio itwa katika majukumu ya timu za Taifa - EDUSPORTSTZ

Latest

Nyota 12 wa Yanga walio itwa katika majukumu ya timu za Taifa

Nyota 12 wa Yanga walio itwa  katika majukumu ya timu za Taifa
Usikose kuitazama mechi ya SIMBA vs COASTAL UNION Live bure kwenye simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA


 Baada ya mchezo dhidi ya Pamba Jiji hapo jana, wachezaji 12 wa Yanga wanakwenda katika majukumu ya timu za Taifa kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu Afcon 2025

Nyota watano wameitwa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' huku wengine 7 wakiitwa katika mataifa mbalimbali

wachezaji hao ni Dickson Job, Ibrahim Bacca, Bakari Mwamnyeto, Mudathir Yahya na Clement Mzize

Wengine ni Khalid Aucho (Uganda) , Stephane Aziz Ki (Burkina Faso), Djigui Diarra (Mali), Prince Dube (Zimbabwe) na Duke Abuya (Kenya)

Pia wamo Clatous Chama na Kennedy Musonda waliojumuishwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Zambia

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz