Msimamo wa Kundi la Taifa Stars Kufuzu AFCON 2025 - EDUSPORTSTZ

Latest

Msimamo wa Kundi la Taifa Stars Kufuzu AFCON 2025

 Msimamo wa Kundi la Taifa Stars Kufuzu AFCON 2025

Usikose kuitazama mechi ya TANZANIA vs DR CONGO na SIMBA vs YANGA  Live bure kwenye simu yako download app yetu Mapema itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA

MSIMAMO WA KUNDI LA TANZANIA KUFUZU AFCON 2025

Msimamo wa Kundi la Taifa Stars Kufuzu AFCON 2025, Msimamo Kundi H la Tanzania Kufuzu AFCON 2025,Msimamo wa Kundi H Kufuzu AFCON 2025, Timu ya Taifa ya Tanzania ipo Kundi H pamoja na timu za DR Congo, Guinea, na Ethiopia kuwania kufuzu AFCON 2025.

Tanzania kwenye Kundi hili ipo pamoja na mataifa matatu ambayo yanashikilia nafasi tofauti katika viwango vya soka vya Dunia vya FIFA.

Kwa upande wa DR Congo wao katika nafasi ya 60, Guinea ipo kwenye nafasi ya 77, Tanzania yenyewe nafasi ya 113, huku Ethiopia ikiwa nafasi ya 143.

Hapa chini tumekuwekea Msimamo wa Kundi H la Tanzania Kufuzu AFCON 2025 hadi leo tarehe 10 October 2024.

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz