LIVE: Itazame mechi ya SIMBA vs COASTAL UNION Live hapa bure - EDUSPORTSTZ

Latest

LIVE: Itazame mechi ya SIMBA vs COASTAL UNION Live hapa bure


 Mnyama Mkali, Simba Sc leo ana nafasi ya kurudi kileleni mwa msimamo wa ligi pale atakapoikabili Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Simba inashika nafasi ya tatu katika msimamo ikiwa na alama 12 baada ya kushinda mechi zote nne

Singida BS na Fountain Gate ziko juu ya Simba kila moja ikiwa na alama 13 pia zikiwa zimecheza mechi zaidi ya Simba

Usikose kuitazama mechi ya SIMBA vs COASTAL UNION Live bure kwenye simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz