LIVE: Itazame mechi ya DR CONGO vs TANZANIA live hapa - EDUSPORTSTZ

Latest

LIVE: Itazame mechi ya DR CONGO vs TANZANIA live hapa

LIVE: Itazame mechi ya DR CONGO vs TANZANIA live hapa

Usikose kuitazama mechi ya DR CONGO vs TANZANIA Live bure kwenye simu yako download app yetu Mapema itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo iko 'kibaruani' DR Congo kuumana na wenyeji wao hao katika mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2025 kundi H

Ni dakika 90 muhimu ugenini ambazo zitahitimishwa na dakika nyingine 90 nyumbani wiki ijayo

DR Congo ndio vinara wa kundi H wakiwa na alama sita baada ya kushinda mechi zote mbili huku Tanzania ikishika nafasi ya pili na alama nne baada ya kushinda mchezo mmoja na kulazimishwa sare mchezo mmoja

Tanzania leo inahitaji ushindi au hata matokeo ya sare ugenini na kuhakikisha inatumia vyema uwanja wa nyumbani katika mchezo wa pili utakaopigwa Oktoba 15 jijini Dar es salaam

Usikose kuitazama mechi ya DR CONGO vs TANZANIA Live bure kwenye simu yako download app yetu Mapema itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz