LIVE: Itazame mechi ya COASTAL UNION vs YANGA Live hapa bure

 

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga leo wako ugenini mkoani Arusha kumenyana na Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Mechi nyingine ngumu ugenini kwa Wananchi wakisaka alama tatu ili kuendeleza rekodi ya ushindi wa asilimia 100 msimu huu

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amekiri hawatakuwa na mechi rahisi mbele ya Coastal Union lakini watapambana ili kuhakikisha wanaibuka na ushindi

Usikose kuitazama mechi hii LIVE kwenye simu yako buree download app yetu itakayokuwezesha kuitazama mechi hii live pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na DSTV Bure pamoja na Muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili kudownload app yetu bonyeza 👉🏻👉🏻HAPA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post