Kuzishuhudia Stars, DR Congo buku mbili tu - EDUSPORTSTZ

Latest

Kuzishuhudia Stars, DR Congo buku mbili tu

Kuzishuhudia Stars, DR Congo buku mbili tu

Usikose kuitazama mechi ya TANZANIA vs DR CONGO Live bure kwenye simu yako download app yetu Mapema itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA


Jumanne, Oktoba 15 2024 timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo wa marudiano kuwania kufuzu Afcon 2025 dhidi ya DR Congo

Baada ya kupoteza mchezo wa kwanza baina ya timu hizo uliopigwa dR Congo juzi, Jumanne Tanzania inahitaji ushindi tu ili kuweka hai matumaini ya kufuzu Afcon 2025

Katika msimamo wa kundi H, DR Congo wako kileleni wakiwa alama 9, wako katika nafasi nzuri ya kufuzu na pengine watakuja wakiwa lengo la kusaka ushindi ili kujihakikishia tiketi yao mapema

Tanzania iko nafasi ya pili ikiwa na alama nne, kama itashinda dhidi ya DR Congo itafikisha alama 7 na kuendelea kusalia nafasi ya pili 

TFF ilitangaza viingilio vya mchezo huo jana ambapo Mzunguuko ni Tsh 2,000/- tu

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz