Kudahe Ateba ahaidi kuwafunga Yanga oktoba 19 sikia alichokisema - EDUSPORTSTZ

Latest

Kudahe Ateba ahaidi kuwafunga Yanga oktoba 19 sikia alichokisema

Kudahe Ateba ahaidi kuwafunga Yanga oktoba 19 sikia alichokisema

Usikose kuitazama mechi ya SIMBA vs YANGA Live bure kwenye simu yako download app yetu Mapema itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA


 Mshambuliaji wa Simba Lionel Ateba, Oktoba 19 anaweza kupata nafasi ya kucheza mechi yake ya kwanza ya dabi msimu huu dhidi ya Yanga

Ni katika mchezo wa ligi kuu ya NBC baada ya nyota huyo kukosa mchezo wa Ngao ya Jamii ambao ulipigwa wakati yeye akiwa bado hajakamilisha usajili wake na Simba

Ateba ambaye mpaka sasa amefunga mabao mawili katika ligi kuu ya NBC, amesema anachofikiria yeye ni kuhakikisha anafunga bao katika mchezo huo

Akizungumza na wanahabari katika Simba Media Day iliyofanyika Mo Simba Arena, Ateba alisema hataki kufahamu majina ya mabeki wa Yanga kwani anachofikiria ni kuhakikisha anafunga katika mchezo huo

"Nataka kuwafunga Yanga tarehe 19 sitaki kujua wana mabeki wa aina gani. Sitaki kujua kama kuna Sergio Ramos anacheza Yanga, sitaki kujua majina ya mabeki wa Yanga ninachohitaji ni kufunga katika mchezo huo," Ateba aliwaambia waandishi wa habari

Simba ilirejea mazoezini leo kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo utakaopigwa Jumamosi, Oktoba 19 dimba la Mkapa

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz