Huyu hapa pilato wa mechi ya Simba VS Yanga kesho - EDUSPORTSTZ

Latest

Huyu hapa pilato wa mechi ya Simba VS Yanga kesho

Huyu hapa pilato wa mechi ya Simba VS Yanga kesho

Ni kesho Jumamosi SIMBA vs YANGA usikose kuitazama mechi hii live bure kupitia simu yako download app yetu Mapema itakayokuwezesha kuitazama mechi hii live kwenye simu yako pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA



 Mwamuzi wa kati Ramadhan Kayoko amepewa jukumu la kusimamia mchezo wa ligi kuu kati ya Simba dhidi ya Yanga utakaopigwa kesho Jumamosi, Oktoba 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Waamuzi wasaidizi wa mchezo huo ni Mohammed Mkono(Tanga) na Kassim Mpanga(Dar es salaam)

Tatu Malogo atakuwa Mwamuzi wa akiba wa mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa 11 jioni

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz