Hii ni mechi yetu sote Wanasimba - Ahmed - EDUSPORTSTZ

Latest

Hii ni mechi yetu sote Wanasimba - Ahmed

Ahmed Ally atoka mafichoni - HabariLeo

Usikose kuitazama mechi ya SIMBA vs YANGA Live bure kwenye simu yako download app yetu mapema itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA



Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ali amewataka Wanachama na Mashabiki wa timu hiyo kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa Jumamosi Oktoba 19 katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga

Ahmed amesema wanatambua mchezo dhidi ya Yanga utakuwa mgumu lakini kama mashabiki wataungana na viongozi wao kuwaunga mkono wachezaji na benchi la ufundi basi hakuna litakalishindikana kupata ushindi katika mchezo huo

"Lazima tuambiane ukweli, tuna mechi ngumu dhidi ya mtani wetu Yanga Oktoba 19, hivyo mechi hii ni ya kwetu sote, yaani mashabiki, viongozi, benchi la ufundi na wachezaji"

"Sote kwa umoja wetu tunapaswa kuingia msituni, tunapaswa kupambana ili kuhakikisha tunaisaidia Simba yetu iweze kupata ushindi"

"Tunawaomba mashabiki wetu muanze kununua tiketi mapema, hii ni mechi yetu na tunapaswa kuonyesha kwa vitendo kuwa hii ni mechi yetu, tuende uwanjani kwa wingi na kwa umoja wetu tutashinda...!," alisema

Jana Simba ilitangaza viingilio vya mchezo huo ambapo kiingilio cha chini mzunguuko ni Tsh 5,000/-

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz