Che Fondoh Malone awapiga mkwara mzito Yanga afunguka haya kuelekea dabi ya kariakoo - EDUSPORTSTZ

Latest

Che Fondoh Malone awapiga mkwara mzito Yanga afunguka haya kuelekea dabi ya kariakoo

 Che Fondoh Malone awapiga mkwara mzito Yanga afunguka haya kuelekea dabi ya kariakoo

Usikose kuitazama mechi ya SIMBA vs YANGA Live bure kwenye simu yako download app yetu Mapema itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA



Beki wa Simba Che Fondoh Malone amesema msimu huu wamejipanga kuhakikisha hawapotezi mchezo wowote kwenye ligi ikiwa ni pamoja na mchezo dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumamosi Oktoba 19

Che Malone amesema wamejifunza kutokana na makosa waliyofanya katika mechi zilizopita na wanafanya maandalizi makini kuelekea mchezo huo

"Mpaka sasa msimu huu tumecheza mechi tano za ligi, tumeshinda nne na kutoka sare mchezo mmoja. Tutaendelea kupambana katika kila mechi lengo letu ni kuhakikisha hatupotezi mchezo"

"Tumeanza maandalizi kuelekea mchezo wa derby dhidi ya Yanga. Tunajua utakuwa mchezo mgumu lakini sisi tuko tayari kukabiliana nao"

"Wakati huu tumejipanga, tutawapa mechi nzuri lengo letu likiwa kushinda. Tumepoteza mechi zilizopita dhidi ya yao, naamini ilikuwa wakati wao kushinda"

"Matokeo hayawezi kuwa sawa kila siku hivyo kwa maandalizi tunayofanya, naamini wakati huu ni wetu," alisema Fondoh

Baada ya mapumziko ya siku chache, Simba ilirejea mazoezini juzi kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz