Chama kurejea Dar mapema kuiwahi Simba - EDUSPORTSTZ

Latest

Chama kurejea Dar mapema kuiwahi Simba

Chama kurejea Dar mapema kuiwahi Simba


Usikose kuitazama mechi ya TANZANIA vs DR CONGO na SIMBA vs YANGA  Live bure kwenye simu yako download app yetu Mapema itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA


Kiungo wa Yanga Clatous Chama hajasafiri na kikosi cha timu ya Taifa ya Zambia kuelekea Chad kwa ajili ya mchezo wa marudiano kuwania kufuzu michuano ya Afcon 2025

Chama amebaki Zambia ili kushughulikia matatizo ya kifamilia ambapo baadae atarejea moja kwa moja Dar es salaam kuungana na wachezaji wengine wa Yanga katika maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba utakaopigwa Jumamosi ijayo, Oktoba 19

Mshambuliaji Kennedy Musonda yeye amesafiri kuelekea Chad na atarejea nchini baada ya mchezo utakaopigwa Oktoba 15

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz