BreakingNews: Mtangazaji Dida Shaibu wa Wasafi FM afariki Dunia - EDUSPORTSTZ

Latest

BreakingNews: Mtangazaji Dida Shaibu wa Wasafi FM afariki Dunia

BreakingNews: Mtangazaji Dida Shaibu wa Wasafi FM afariki Dunia

Usikose kuitazama mechi ya DR CONGO vs TANZANIA Live bure kwenye simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA 

BreakingNews: Dida Shaibu wa Wasafi Media afariki Dunia

Mtangazaji wa Wasafi FM kupitia kipindi cha 'Mashamsham', Khadija Shaibu maarufu kama Dida amefariki Dunia usiku huu wa leo Ijumaa, Oktoba 4, 2024 baada ya kuugua na kulazwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Taarifa za msiba huo zimethibitishwa na mtangazaji mwenzake, Maulid Baraka Kitenge kupitia mitandao yake ya kijamii.

Kitenge ameandika; “Dida shaibu wa Wasafi FM amefariki dunia."

Didah amefikwa na umauti akiwa na umri wa miaka 42, ambapo kifo chake kimetokea siku kumi na sita (16) toka Wafuasi wake washuhudie ukimya wake katika mitandao ya kijamii ambapo chapisho lake la mwisho mtandaoni lilikuwa Septemba 19, 2024 ambapo aliweka picha yake akiwa kwenye gari ikisindikizwa na wimbo wa Martha Mwaipaja “Amenitengeneza".

Kabla ya kutua Wasafi, Dida alikuwa akifanya kazi ya utangazaji katika kituo cha Times FM kupitia kipindi cha Mirindimo.

Edusports tz tunatoa pole kwa familia ya Dida, Wasafi Media na Watanzania wote kwa msiba huu.

Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un.

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz