BREAKING: TAARIFA MPYA KUTOKA SIMBA ASUBUHI HII

 

Usikose kuitazama mechi ya SINGIDA BLACK STARS vs YANGA LIVE kesho kutwa LIVE kwenye simu yako buree download app yetu itakayokuwezesha kuitazama mechi hii live pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na DSTV Bure pamoja na Muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA


Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Simba dhidi ya JKT Tanzania uliokuwa upigwe kesho Jumanne, Oktoba 29 katika uwanja wa KMC Complex, umeahirishwa

Kulingana na taarifa iliyotolewa na Simba, kuahirishwa kwa mchezo huo kumetokana na ajali ambayo JKT Tanzania walipata jana wakati wakirejea Dar es salaam kutoka mkoani Dodoma

JKT Tanzania walithibitisha kutokea kwa ajali hiyo jana ambayo ilipelekea majeraha kwa baadhi ya wachezaji na maafisa wa timu hiyo

Bodi ya Ligi itaupangia mchezo huo tarehe nyingine. Kikosi cha Simba kinaendelea na maandalizi kwa ajili ya mechi inayofuata dhidi ya Mashujaa itakayopigwa Novemba 1 huko Kigoma

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post