Alicho kisema Ahmed Ally baada ya Simba kupewa kichapo na Yanga kwa mara ya 4 mfululizo - EDUSPORTSTZ

Latest

Alicho kisema Ahmed Ally baada ya Simba kupewa kichapo na Yanga kwa mara ya 4 mfululizo

Alicho kisema Ahmed Ally baada ya Simba kupewa kichapo na Yanga kwa mara ya 4 mfululizo

Ni kesho YANGA vs JKT TANZANIA na TZ PRISON vs SIMBA usikose kuzitazama mechi hizi Live bure kupitia Simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuzitazama mechi hizi live kabisa pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel za AZAM TV bure na DSTV pia kuna Muvi zilizotafsiriwa kudownload App yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Ahmed Ally Aota Ndogo ya Mchana Kuhusu SIMBA Kuchukua Kombe Ligi Kuu

 Licha ya kupoteza mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga, Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ali amewataka mashabiki wa timu hiyo kuwa na imani kwani malengo ya kujenga timu imara yanakwenda kukamilika

Ahmed amesema kiwango kilichoonyeshwa na Simba katika mchezo huo ni ishara kuonyesha timu iko katika njia sahihi

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Ahmed ameandika ujumbe huu;

"Tunaumia kwa kupoteza mchezo wa derby lakini tunajipongeza kwa kuwa mradi wetu wa kutengeneza timu umeanza kutoa matunda tena kwa haraka sana

Wote ni mashahidi misimu kadhaa nyuma tulifungwa derby na kutawalia na mpinzani kwa dakika zote 90

Jana tumeona tofauti kubwa sana tumefungwa lakini tumeutawala mchezo kwa asilimia kubwa na kama kila kitu kingekua sawa basi tungeshinda mchezo ule

Muhimu kwetu Wana Simba kwanza tukubali tumepoteza na wala hakuja haja ya kuanza kuhesabu tumepoteza mara ngapi, Mpira ni maisha ya duara muda wetu utafika na sisi tutatawala derby kwani tumewahi kufanya hivyo

Muhimu kwa sasa ni kusahau yote yaliyotokea na kujipanga upya kwa vita iliyo mbele yetu

Tumebakiwa na michezo 24 nguvu kubwa iwe kushinda michezo hiyo tumepoteza derby sio ubingwa

Na pia tuwekeze nguvu kwenye mchezo wetu Jumanne dhidi ya Tanzania Prison

Ubaya Ubwela unaendelea.."

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz