Yanga yapania rekodi nyingine Azam Complex - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga yapania rekodi nyingine Azam Complex

Yanga yapania rekodi nyingine Azam Complex


Usikose kuitazama mechi ya YANGA vs KMC Live bure kwenye simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA


 Ni Jumapili ya kufosi pale uwanja wa Azam Complex, Chamazi siku ya Jumapili katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC

Yanga imedhamiria kushinda mchezo wa kwanza nyumbani baada ya ushindi katika mechi mbili za ugenini

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amewataka mashabiki kuhakikisha wananunua tiketi mapema lengo likiwa kujaza dimba la Azam Complex

Tangu msimu uliopita, Yanga ilichagua uwanja wa Azam Complex kama sehemu ya machinjio ya timu pinzani na kilichotokea ni kuwa Yanga ilishinda mechi zote 13 iliyozocheza katika uwanja huo

Aidha Yanga iliweka rekodi ya kibabe msimu uliopita kwani ilishinda mechi zote 15 ilizocheza nyumbani

Msako wa rekodi nyingine unaanza Jumapili dhidi ya KMC ambayo imepata wakati mgumu kila ilipokutana na Yanga

Msimu uliopita KMC walibugizwa mabao 5-0 katika mchezo dhidi ya Wananchi hapo Chamazi

Msimu huu wanakuwa timu ya kwanza kukutana na Yanga katika uwanja wa nyumbani

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz