Yanga imebaki na wachezaji 11 tu - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga imebaki na wachezaji 11 tu

Yanga imebaki na wachezaji 11 tu


Bado unahangaika kutafuta app ya kutazama mechi za ligi kuu tz bara (nbc premier league) pia na mechi za ulaya? Basi hii hapa app itakayokuwezesha kutazama mechi zote Live bure kabisa pia ndani ya app hii utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure kudownload app hii bonyeza 👉🏻HAPA


 Katika kipindi hiki ambacho ligi imesimama kupisha kalenda ya FIFA, Yanga imecheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Kiluvya Fc na Cosmopolitan Fc ambapo wananchi wameshinda mechi zote

Waliichapa Kiluvvy Fc mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa Septemba 04 mabao ya Salum Abubakar, Jean Baleke na Shekhan Khamis

Jana Yanga ikapata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Cosmopolitan yote yakifungwa na Maxi Nzengeli

Kutokana na kukosa idadi kubwa ya wachezaji wake, kocha mkuu wa Yanga Miguel Gamondi ametumia utaratibu wa kucheza mechi hizo ili kuwaweka nyota wake katika hali ya ushindani kwani hakuna maandalizi ya kimbinu ambayo atafanya wakati huu anawakosa wachezaji 16

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema ni wachezaji 11 tu waliobaki kambini wakiendelea na maandalizi

"Tumesajili wachezaji 27, kati yao 14 wako katika majukumu ya timu za Taifa na wawili ni majeruhi"

"Hivyo tuna wachezaji 11 tu kambini na tumelazimika kuwaongeza wachezaji kutoka timu ya vijana," alisema Kamwe

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz