Wydad bado wamekomaa na Mzize watuma ofa ya 3 - EDUSPORTSTZ

Latest

Wydad bado wamekomaa na Mzize watuma ofa ya 3

Wydad bado wamekomaa na Mzize watuma ofa ya 3

Leo michuano ya kufuzu kombe la mataifa ya africa AFCON inaendelea ambapo timu mbali mbali zitakuwa viwanjani kuanzia mida ya saa moja jioni usikose kutazama mechi zote live bure kupitia simu yako pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za Azam Tv na Dstv bure pia mechi za ligi kuu tz bara na ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA

 Klabu ya Wydad Athletic imetuma ofa ya tatu kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize, imefahamika

Matajiri hao kutoka ligi kuu ya Morocco wameongeza dau la usajili kufikia takribani Tsh 1.4B ambapo dau hilo linaweza kuongezeka hadi kufikia Tsh 2.1B kutegemea na makubaliano ya ziada

Aidha klabu hiyo imeipa Yanga ofa ya kufanya pre-season ya msimu ujao Morocco ambapo Wydad watagharamikia kila kitu

Kulingana na vyombo vya habari Morocco, wanaamini ofa hiyo ni kubwa na uongozi wa Yanga utamruhusu Mzize kwenda kujiunga na timu hiyo inayonolewa na Rulani Mokoena aliyewahi kuinoa Mamelodi Sundowns

Yanga imeweka msimamo wa kutomuuza mchezaji huyo chini ya dau lisilopungua Tsh Bilioni 2.7



KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz