Viingilio mchezo wa SIMBA vs AL AHLI TRIPOLI - EDUSPORTSTZ

Latest

Viingilio mchezo wa SIMBA vs AL AHLI TRIPOLI

Viingilio mchezo wa SIMBA vs AL AHLI TRIPOLI

Usikose kuitazama mechi ya SIMBA vs AL AHLI TRIPOLI Live bure kwenye simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA

 Mapema tu Simba imetangaza viingilio vya mchezo wa mkondo wa pili kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF CC) dhidi ya Al Ahli Tripoli

Mnyama amepania kwenda makundi na Jumapili, Septemba 22 2024, ushindi ni matokeo ya lazima

Tayari tiketi zimeanza kuuzwa kupitia mtandaoni kwa wale wenye N-CARD

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz