Sakata la Kagoma na Yanga, mwanasheria aibua jipya tena
Usikose kuitazama mechi ya CBE SA vs YANGA Live bure kupitia simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii live bure pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
"Wadau wa michezo wengi Tanzania wanaongozwa na hisia na hawataki ukweli, hoja za msingi ni hizi hapa;
1. Kanuni zetu haziruhusu mchezaji kusaini mkataba na vilabu 2, lakini Yusuph Kagoma amesaini mikataba 2 na anakiri hilo, je hili ni sawa kwa mujibu wa kanuni zetu?
2. Hakuna taasisi imekaa chini na kubatilisha mkataba mmoja wapo kati ya aliyoisaini mchezaji, hii inamaana gani?
3. SFG wanasema Yanga ilichelewa kufanya malipo kwa siku 5, je kanuni ya 12bis (3) ya kanuni za FIFA za uhamisho na hadhi za wachezaji (RSTP) ya 2024 inasemaje kuhusu ucheleweshwaji wa malipo?
Swali la msingi: Kama mnadai timu inayowahi kumsajili mchezaji ndiyo ina haki na mchezaji, ni wakati gani kanuni ya 41(13) inayozuia mchezaji kusaini mkataba na klabu zaidi ya moja itafanya kazi!? Logic
NB: Nitasimama upande wa sheria na kanuni sio upande wa hisia." amesema hayo Mwanasheria wa klabu ya Yanga SC Simon Patrick.
Post a Comment