Mo afurahishwa na 'mzuka' Simba - EDUSPORTSTZ

Latest

Mo afurahishwa na 'mzuka' Simba

Mo afurahishwa na 'mzuka' Simba


Usikose kuitazama mechi ya DODOMA JIJI vs SIMBA Live bure kwenye simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA


 Mwekezaji wa klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, amewapongeza wachezaji wa Simba baada ya kuiuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam Fc katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa New Amaan Complex jana

Mo ameeleza kufurahishwa na ari, morali iliyoonyeshwa na wachezaji katika mchezo huo ulioihakikishia Simba ushindi wa tatu mfululizo kwenye ligi

"Ushindi dhidi ya Azam Fc! Hongera kwa wachezaji wetu kwa kujituma na kuonyesha moyo wa ushindi. Tutaendelea kujenga safari yetu ya mafanikio," aliandka Mo katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Mabao ya Lionel Ateba na Fabrice Ngoma yaliihakikishia Simba ushindi wa tatu mfululizo dhidi ya Azam Fc na kusogea mpaka nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi

Unaweza kusema matunda ya uwekezaji wa Mo katika kikosi cha Simba msimu huu yameanza kuonekana, kikosi cha kocha Fadlu Davids kikionyesha mabadiliko makubwa kiuchezaji

Mo ametumia takribani Bilioni 8 kuisuka upya Simba katika dirisha lililopita la usajili

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz