LIVE: Itazame mechi ya GUINEA vs TANZANIA Live hapa bure - EDUSPORTSTZ

Latest

LIVE: Itazame mechi ya GUINEA vs TANZANIA Live hapa bure


 Baada ya kukosa ushindi katika mchezo wa kwanza kuwania tiketi ya kufuzu Afcon 2025, timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo iko ugenini kumenyana na Guinea katika mechi nyingine muhimu kundi H

Mchezo huo utapigwa Ivory Coast, wenyeji Guinea wakipeleka mechi hiyo nchini humo baada ya kukosa uwanja wenye sifa nchini kwao

Tanzania inahitaji kushinda mchezo huo ili kufufua matumaini ya kufuzu Afcon 2025 ingawa hata matokeo ya sare ugenini yatawapandisha nafasi ya pili

DR Congo ndio vinara wa kundi H wakikusanya alama sita baada ya ushindi wao wa pili dhidi ya Ethiopia jana

Usikose kuitazama mechi hii Live bure kupitia simu yako download app yetu itakayokuwezesha kuitazama mechi hii Live bure pia kwenye app yetu utaweza kutazama chanel za Azam Tv na Dstv bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz