Kituo kinachofuata ni Ken Gold Fc vs Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Kituo kinachofuata ni Ken Gold Fc vs Yanga

Kituo kinachofuata ni Ken Gold Fc vs Yanga 

Usikose kuitazama mechi ya YANGA vs KEN GOLD Live bure kwenye simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA


 Baada ya kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika kwa ushindi wa kibabe wa jumla ya mabao 7-0 dhidi ya CBE SA ya Ethiopia, kikosi cha Yanga kinahamishia nguvu zake katika ligi kuu ya NBC

Yanga inaelekea mkoani Mbeya tayari kwa mchezo dhidi ya Ken Gold utakaopigwa Jumatano, Septemba 25 katika uwanja wa Sokoine

Wananchi wakitoka Mbeya, watarejea Dar es salaam kucheza mechi yao ya kwanza nyumbani msimu huu dhidi ya KMC katika uwanja wa Azam Complex, Septemba 29

Baada ya KMC, Wananchi watabaki nyumbani kuikaribisha Mashujaa Fc katika mchezo mwingine utakaopigwa uwanja wa Azam Complex

Katika mchezo dhidi ya CBE juzi, Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi alifanya mabadiliko ya kikosi chake katika baadhi ya nafasi ambapo baada ya mchezo alidokeza kuwa mabadiliko hayo yalizingatia ratiba ya mechi mfululizo za ligi itakayofuata

Yanga inashika inashika nafasi ya 12 katika msimamo wa ligi ikiwa imecheza mechi moja tu ambayo ni dhidi ya Kagera Sugar wakiibuka na ushindi wa mabao 2-0

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz