Dabi ya Kariakoo yarudishwa kwa Mkapa - EDUSPORTSTZ

Latest

Dabi ya Kariakoo yarudishwa kwa Mkapa

Dabi ya Kariakoo yarudishwa kwa Mkapa


Usikose kuitazama mechi ya TANZANIA vs ETHIOPIA leo live bure kupitia simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA


 Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeboresha ratiba ya NBC Premier League ambapo imeipangia tarehe michezo 14 ambayo haikuwa na tarehe hapo awali

Katika maboresho hayo mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba dhidi ya Yanga umeondolewa dimba la KMC na kupelekwa Benjamin Mkapa huku tarehe ikisalia kuwa Oktoba 19, 2024

Kwa mujibu wa taarifa ya TPLB, maboresho hayo yamekuja kutokana na kuondolewa kwa klabu za Azam FC na Coastal Union kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa na Kombe la Shirikisho

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz