Tuzo za Tff ni leo
Usikose kutazama sherehe za Simba Day Live bure kupitia simu yako download app yetu mapema ili usipitwe na tukio hili maalumu la Simba Day pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam tv na Dstv bureee download sasa app yetu kudownload App yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Tuzo za TFF msimu wa 2023/24 zinatarajiwa kutolewa leo August 1 ukumbi wa The Super Dome, Masaki jijini Dar es salaam kuanzia saa 1 usiku
Tujikumbushe wachezaji wanaowania tuzo mbalimbali;
MFUNGAJI BORA
- Stephane Aziz Ki (Yanga)
BEKI BORA
- Yao Kouassi (Yanga)
- Ibrahim Hamad (Yanga)
- Mohammed Hussein (Simba)
KIUNGO BORA
- Aziz Ki (Yanga)
- Feisal Salum (Azam Fc)
- Kipre Junior (Azam Fc)
MCHEZAJI BORA
- Azik Ki (Yanga)
- Feisal Salum (Azam Fc)
- Kipre Junior (Azam Fc)
- Djigui Diarra (Yanga)
- Ley Matampi(Coastal)
- Yao Kouassi (Yanga)
- Ibrahim Hamad (Yanga)
- Mohammed Hussein (Simba)
KOCHA BORA
- David Ouma (Coastal Union)
- Bruno Ferry (Azam Fc)
- Miguel Gamondi (Yanga)
KIPA BORA
- Ayoub Lakred (Simba)
- Djigui Diarra (Yanga)
- Ley Matampi (Coastal Union)
MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI
- Semfukwe Charles (Coastal Union)
- Shomary Raheem (KMC)
- Constantine Malimi (Geita)
Kwa upande wa kombe la Shirikisho la CRDB tuzo ya mfungaji bora inawaniwa na Clement Mzize (Yanga) na Edward Songo (JKT Tanzania)
Kipa bora wanaowania ni Djigui Diarra (Yanga), Khomein Aboubakar (Ihefu) na Mohammed Mustafa (Azam Fc)
Wanaowania tuzo ya mchezaji bora ni Aziz Ki (Yanga) Mzize (Yanga), Feisal Salum (Azam), Ibrahim Bacca (Yanga) na Kipre Junior (Azam)
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment