Simba wamtambulisha goli kipa mpya

Simba wamtambulisha goli kipa mpya
Usikose kutazama sherehe za Simba Day Live bure kupitia simu yako download app yetu mapema ili usipitwe na tukio hili maalumu la Simba Day pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam tv na Dstv bureee download sasa app yetu kudownload App yetu bonyeza 👉🏻HAPA

 Lilikuwa ni suala la muda tu, hatimaye leo Simba imemtambulisha rasmi golikipa mpya Moussa Camara anayetua Msimbazi kutoka klabu ya Horoya AC ya Guinea

Camara amepewa mkataba wa miaka miwili akitajwa kuchukua nafasi ya Ayoub Lakred ambaye alipata majeraha ambayo yanaweza kumuweka nje kwa muda mrefu

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 25 sasa anaungana na Ali Salim na Hussein Abel kama makipa tegemeo wa Simba

Camara ni miongoni mwa wachezaji wa Simba ambao leo wanafanya mazoezi ya mwisho katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuelekea Simba Day hapo kesho ambapo utaweza kutazama sherehe hizi live bure ndani ya App yetu kama bado hujaidownload bonyeza 👉🏻HAPA

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post