Picha: Meja kunta alivyo wapa burudani Wananchi leo Mbagala Zakhiem

Picha: Meja kunta alivyo wapa burudani Wananchi leo Mbagala Zakhiem

Usikose kutazama sherehe za Simba Day Live bure kupitia simu yako download app yetu mapema ili usipitwe na tukio hili maalumu la Simba Day pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam tv na Dstv bureee download sasa app yetu kudownload App yetu bonyeza 👉🏻HAPA

 Msanii maarufu wa singeli maarufu Meja Kunta ni Mwananchi! leo ameibuka katika viwanja wa Zakhiem Mbagala na kutoa burudani ya aina yake kwa Wananchi waliojitokeza kwa wingi katika hamasa kuelekea kilele cha Wiki ya Mwananchi, Jumapili August 04

Kwa miaka mingi Meja Kunta amekuwa akitumbuiza katika Tamasha la watani lakini kuanzia leo ametangaza rasmi kuwa yeye ni Mwananchi na atakuwepo siku ya Jumapili pale kwa Mkapa!

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post