Ligi Kuu NBC 2024/25 kuanza leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Ligi Kuu NBC 2024/25 kuanza leo

Ligi Kuu NBC 2024/25 kuanza leo


Usikose kuitazama mechi ya VITALO FC vs YANGA kesho kutwa miachuano ya Caf champions league LIVE bure kupitia simu yako pia SIMBA vs TABORA UNITED download app yetu itakayokuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure download sasa app yetu kuidownload bonyeza 👉🏻HAPA


 Mikiki mikiki ya Ligi Kuu ya NBC 2024/25 inaanza kutimua vumbi leo ambapo mchezo mmoja unatarajiwa kupigwa

Pamba Fc iliyopanda daraja msimu uliopita, itafungua pazia kwa kuchuana na Tanzania Prisons katika mchezo utakaopigwa uwanja wa CCM Kirumba saaa 10 jioni

Mechi nyingine mbili zitapigwa kesho, Mashujaa wakichuana na Dodoma Jiji huku Namungo Fc wakiikabili Singida BS

Mabingwa watetezi wa michuano hiyo Yanga wao watasubiri mpaka August 29 kucheza mechi yao ya kwanza msimu huu dhidi ya Kagera Sugar mchezo ambao utapigwa uwanja wa Kaitaba

Yanga inakabiliwa na mechi mbili za hatua ya awali ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Vital'o ya Burundi

Mchezo wa mkondo wa kwanza utapigwa kesho Jumamosi, August 17 katika uwanja wa Azam Complex na marudiano kupigwa August 24 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz