Kibu arejea, kupelekwa Kamati ya nidhamu - EDUSPORTSTZ

Latest

Kibu arejea, kupelekwa Kamati ya nidhamu

Kibu arejea, kupelekwa Kamati ya nidhamu

Usikose kutazama sherehe za Simba Day Live bure kupitia simu yako download app yetu mapema ili usipitwe na tukio hili maalumu la Simba Day pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam tv na Dstv bureee download sasa app yetu kudownload App yetu bonyeza 👉🏻HAPA


 Mshambuliaji wa Simba Kibu Denis amerejea nchini akitokea Norway ambako alikwenda kusaka nafasi ya kucheza soka la kulipwa

Kibu aliondoka nchini pasipo ruhusa ya uongozi, amerejea na moja kwa moja kujiunga na wenzake kwenye maandalizi ya mwisho kuelekea Simba Day sku ya Jumamosi

Hata hivyo Kibu atalazimika kujitetea katika Kamati ya Nidhamu kutokana na sintofahamu aliyosababisha

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ali amethibitisha ni kweli Kibu amerejea na hatma yake iko mikononi mwa uongozi

"Kibu Denis ni mmoja kati ya wachezaji wenye nidhamu hali ya juu. Pamoja na haya yaliyotokea, sisi tunatambua Kibu ni kijana wetu mtiifu"

"Iko nafasi kwa sisi kuzungumza na kijana wetu, tukaweka sawa na mchezaji wetu akaendelea kuitumikia Simba," alisema

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz